Ushauri mzuri huuKama course coordinator amegoma unaweza ukaongea na head of department nakupata ushauri pia ikishindikana unaomuona Academic registrar ataweza kukushauri cha kufanya. Fanya hayo yote kwa documentation.
Pia kama sarakasi zikizidi kuwa mpole ingia darasani tena kwenye hilo somo uanze upya ujirejiste kufanya hizo quiz, continuous assessment test na mwisho UE. Incomplete course ni kichefuchefu sana.
Just relax udanganye na uambie moyo wako ALL IS WELL.
Sawa Mkuu ahsante sana na ubarikiwe nitaanza kutekeleza ushauri wakoKama course coordinator amegoma unaweza ukaongea na head of department nakupata ushauri pia ikishindikana unaomuona Academic registrar ataweza kukushauri cha kufanya. Fanya hayo yote kwa documentation.
Pia kama sarakasi zikizidi kuwa mpole ingia darasani tena kwenye hilo somo uanze upya ujirejiste kufanya hizo quiz, continuous assessment test na mwisho UE. Incomplete course ni kichefuchefu sana.
Just relax udanganye na uambie moyo wako ALL IS WELL.
Ahsante sana Kaka nitaleta feedbackAndika barua kwenda kwa uongozi wa department Yako. Hakikisha unaweka uthibitisho kuwa umeonewa.Itakusaidia kama ushaidi baadae kama lecturer ataamua kukaza. Iliwahi kunitokea Mimi nikiwa 2nd year COET nilikosa UE baada ya ratiba kubadirishwa muda mfupi kabla ya mtihani. Nilifika chumba cha mtihani zimebaki dakika 10 mtihani kumalizika. Nikamwambia msimamizi sitafanya mtihani. Fasta nikawahi hospitali kuchukua uthibitisho kama nilikuwa naumwa na nikaandika barua kuomba kupewa mtihani lkn nikajibiwa kuwa nitafanya Special UE kipindi cha sup exams. Unfortunately matokeo kwenye mfumo wa matokeo ukareflect kuwa nimedisco coz of incomplete. Nilipewa pole nyingi sana na washikaji ila sikuwa na wasiwasi kwani nilifanya special UE ila taarifa zangu zilikuwa hazijawa updated kwenye mfumo. Course ilikuwa ya MT...( Maths) Kwa mliosoma COET mtanielewa na matokeo nikipata A. Here I am now ni Senior Engineer najenga nchi yangu.
Mmh sisi chuoni incomplete ilikuwa inakupeleka kwenye discontinue hata kama ni somo moja.Habari za asubuhi wakuu
I hope mnaendelea vyema na Ujenzi wa Taifa letu
Kuna jambo moja naliwasilisha kwenu ili kupata mawazo yenu na ushauri wenu wakubwa zangu kuhusiana na suala hili linalonisibu.Nina imani nitapata msaada humu jukwaani
Kama ilivyo ada masuala ya chuoni kuna changamoto mbalimbali ambazo wanafunzi tunakumbana nazo na changamoto mojawapo nilokutana nayo ni suala la kuwa na incomplete katika mojawapo ya somo nililolisoma
Hii incomplete ilitokana na kutojaziwa marks kwenye test ambayo niliifanya lakini mtihani sikuwa nao mda huo kwa sababu kilipita kipindi kirefu tangu test ifanyike na marks kupandishwa kule kwenye mfumo
Kabla ya kuingia kwenye UE nilimfata Course coordinator kumuelezea hii issue akanambia nimechelewa sana na kilichobakia ni kulicarry hili somo.Nilijitahidi kumuomba niingie kwenye UE lakini msimamo wake ulikuwa ni kulicarry hili somo basi nikaona hamna namna acha nione itakuwaje baada ya UE results naona hata hyo carry hamna nakuta kuna incomplete
Suala nimefuatilia ila bado course coordinator ndo anaweka ngumu
Ushauri wenu Wakuu navukaje hiki kipengele
CHUO:UDSM
lecture = lecturerLecture wa somo husika ulimtafuta?
Vunga mkuulecture = lecturer
Wewe ndiye injinia unayerCourse ilikuwa ya MT...( Maths) Kwa mliosoma COET mtanielewa na matokeo nikipata A. Here I am now ni Senior Engineer najenga nchi yangu.
Ni department of statistics MkuuHao kama sio wazee wa CL a.k.a department of foreign languages and virtual studies,hao ndo wenye roho ngumu hivyo.
Hiyo udsm kubaluli tu kucarry hilo some hakuna kinachoweza kuchange.
Afu uwe serious na shule, ukizubaa next time unadisco.
Carry tu.hawana msaada hao kengeNi department of statistics Mkuu