Kesi ya godbless lema........? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kesi ya godbless lema........?

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by sinafungu, Oct 3, 2012.

 1. sinafungu

  sinafungu JF-Expert Member

  #1
  Oct 3, 2012
  Joined: Feb 13, 2010
  Messages: 1,405
  Likes Received: 569
  Trophy Points: 280
  Jaji Mkuu bw Mohamed Othmani Chande akisaidiana na jaji Natalia Kimaro pamoja na Jaji Salum Masati wa mahakama ya rufaa, wanapitia hukumu ya kesi ya aliyekuwa mbunge wa Arusha mjini kwa tiketi ya Chadema . Wadau je mnalionaje hili.? huyu Jaji Mkuu kwa nini asikae pembeni ktk hili..? itakuwaje hukumu ikiwa ya kisiasa tena.........?
   
 2. Mpangamji

  Mpangamji JF-Expert Member

  #2
  Oct 3, 2012
  Joined: May 12, 2010
  Messages: 536
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Jambo liko Mahakamani Mkuu si ruhusa kulijadili
   
 3. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #3
  Oct 3, 2012
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,799
  Trophy Points: 280
  Naona kama ni vizuri tu naye chande akaicheza ngoma.
   
 4. activisty

  activisty JF-Expert Member

  #4
  Oct 3, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 315
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  huyu jaji lazima awe makini na uamuzi wake n kama amewekwa kwa ajili ya kurubuni basi ajue WATANZANIA NA DUIA KWA UJUMLA wanaitazama kwa makini kessi hii na tunasubiri ushindi tu wa LEMMA kwani alishinda huru na waaarusha waalitambua hilo
   
 5. W

  WILSON MWIJAGE JF-Expert Member

  #5
  Oct 4, 2012
  Joined: May 30, 2011
  Messages: 276
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Ndugu,

  Kwa faida ya nani
   
 6. Mpangamji

  Mpangamji JF-Expert Member

  #6
  Oct 4, 2012
  Joined: May 12, 2010
  Messages: 536
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Mkuu, Mahakama ni mhimili wa dola yaani serikali na serikali ya sasa ni serikali ya CCM, kwa kuwa Mhakama ni ya serikali ya CCM, kwa faida ya CCM mkuu.
   
Loading...