Kesi ya CAS: Wajinga ndio waliwao

Kesi ya CAS: Wajinga ndio waliwao

Cashman

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2018
Posts
3,289
Reaction score
5,741
Ukiwa mjini utashangaa kuna kazi nyingi ili ziendelee zinategemea ujinga wa watu.
Kwenye lile suala la klabu moja inayoendeshwa kwa propaganda na milungura ya kutosha kununua mechi kwa njia ya kuhujumu kushirikiana na kampuni moja la betting,waliingia kwenye 18 za mawakili wasomi wakaweka pesa za kutosha lakini ni kwa ujinga tu na mihemko wakaenda CAS.
Nina uhakika mawakili wao walijua tu kuwa hii haiendi popote Ila uzuri ilikuwa ni fursa tu ya kupiga za wajinga.
Nakumbuka hata rais wa tls alitanabahisha mapeema mno kwamba hawatapata kitu huko CAS.
Tunaambiwa club yote ina watu wawili tu wenye akili nao wamezeeka kwa sasa.
Wengine wote hata ukiwa na PhD bado huwezi kuwa na tofauti na mtu aliyekimbia shule ya msingi.
 
Hata baada ya hili, mashabiki wa Yanga wataona Viongozi wao bado ni Wachapakazi .
Ubingwa mara nne mfululizo, piga mtani mara nne mfululizo zikiwemo tano, uhakika ubingwa msimu ujao,jenga jina africa kwa kufika final na kutoa vipigo safi
 
Litimu limejaa majinga matupu . Yanapenda Sana kudanganywa. Na yakidanganywa meno yote 32 nje . Litimu la hovyo kwakweli.
 
Back
Top Bottom