nelly nely
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 665
- 229
unaamini ktk lipi?km huamin upande wowote bac usitoke povu na wewe,waache wenye imani zao watoe hisia zaoTatizo la wabongo tunapenda kuhukum mambo kwa kutumia hisia na ushabiki HIV ni nan mwenye uhakika kwa asilimia Mia kwmba babu seya na nguza walisingiziwa? Hii yote inatokana na umaarufu wao kabla ya tukio hilo lait wangekuwa watu wa kawaida wala msingetokwa na povu kias hiki watanzania tumekuwa na huruma sna has kwa mtu am aye amefanya kosa kwel hii huruma yetu imeingia mpk kwny mfumo wetu wa sheria tht y unamuona lulu uraian huruma imefanya mpk mafisad kuachiwa au kufungwa kwa miaka midogo gerezan achanen na reference ambazo hazina mashiko tupen data za kutosha zioneshe kwel hawa jamaa walisigiziwa
ni hisia zao hata km n za mitaani,na we toa hisia zako kwa kufuata story za chumbani,shida iko wapi hapo?heshimu hisia za watu!Big up sana, kuna watu wanatoa hoja zao kwa kufata stori za vijiwe vya mtaani, ni hoja za kishabiki shabiki!
tuambie sasa ilianzia wapi na imeishia wap?huenda unafaham zaidiMdau ndio maana mambo ya sheria waachie wanasheria...mtu anaongea hapa lakini haelewi hata kesi ilianzia wapi na ikaishia wapi.
acha kuropoka,leta ushahidi km wanahusikaWatu tunaropoka sana. Ukiambiwa ulete ushahidi kuwa babu seya alisingiziwa huna,unabaki kuokoteza maneno ya mitaani eti jk anahusika. Kina babu seya sio malaika mjue. Tunaongozwa na hisia tu. Kama kweli waliwabaka watoto.waozee huko huko ndani
punguza povu MJINI CHAI,sheria kweli zipo lkn zinafuatwa nchini humu?km kweli we ni great thnker utakubaliana nami kwamba ktk mambo mengne vitu km sheria na taratibu huwekwa pembeni na kutumia akili ya kibinadamu kufikia maamuzi muafaka,hii kesi hebu itazame kibinadamu zaidi na c kisheria zaidi.Akili mbovu hata humu Jf wamo.....Maamuzi ya Mahakama zote siyo ushahidi tuu?.........mna matatizo gani nyie Someni mwenendo wa Kesi ndio mutajua mbivu na mbichi.............!!!!!!!!
acha kuropoka,leta ushahidi km wanahusika
sijasema nina ushahidi kwamba hawajahusika,ninachoshangaa ni wewe kuwaponda wanaoamua kuweka hisia zao hadharani!kila mtu ana utashi wake na uhuru wa kusema anachohisi,sasa km wewe unapingana nao basi lete ushahidi wako jukwaani sio kupinga mawazo ya wengineushahd wangu ni ule wa mahakamani. Wewe kama una ushahd kuwa hawakubaka mpeleked marando ili asaidie kuwatoa jela wanateseka bure. Kama huna funga bakuli lako
yap!hyo nayo niliwah kusikia ila cjajua salima yupi aliyeimbwa humoNilipata kusikia kuwa ni ile kibao cha SALIMA alichoimba PAPII ndio kililiete haya yote
Papii Kocha ft Lady JD- Salima | Muziki.net
mkuu,do u believe in court of laws in our country?There is no justice nowadays its about what you can prove in the court of law that's all matters..:help:
umemalizia vizuri, asante kwa taarifaBinafsi toka mwanzo wa kuifahamu kesi hii iliyojaa kila aina ya mbwembwe na umaarufu kwa sababu ya washtakiwa wenyewe siku zote na kwa mtazamo wangu na upande wa pili unisamehe ila imani yangu ni kwamba pale hakuna kesi zaidi ya siasa chafu na visasi vya kila aina,chuki na ubinafsi wa nafsi ndio vilivyofanya paka leo hii familia ya Nguza Viking ikiteseka bila sababu.Yashasemwa mengi sana kuwa kuna mlono wa mtu pale na hata ukiangalia mwenendo mzima wa kesi utakubaliana nami pasipo shaka kuwa pale kuna ujanja unaofanyika ingawa ni ngumu na siwezi kutibitisha moja kwa moja ila rai yangu na maombi yangu juu yao waweze kuwa huru tena na kama walifanya kweli basi uhuru wao hakika hautadumu huku uraiani...Mtazamo wangu binafsi.
Ipo siku yatawashukia wale wote waliofanya haya,MUNGU WEWE WAJUA,NA OKOA WAJA WAKO
'hebu zishushe hapa mkuu wazione kiongozi.................where we dare to talk openly-JF'
Kitu kilichoniumiza sana ni pale Mwl aliyetajwa kuwa alikuwa anawapeleka watoto kwa Babu Seya kisha wakati akitoa ushahidi wake Mwl aliiambia mahakama kwamba kamwe asihusishwe kwenye mambo ambayo hajawahi kufanya kwani yeye ni mlokole na hajawahi kuona wala kuwapeleka watoto kwa Babu Seya. Mahakama ikamuona hana hatia ikamwachia huru. Swali kama kulikuwa na Mwl aliyekuwa akiwapeleka watoto hao kwa Babu Seya ni Mwl yupi huyo kama huyu hakuwa na hatia japo mwanzo alionekana ndiye, tena aliiumbua mahakama kuwa hajawahi kusikia kitu kama hicho. Hospital watoto walipimwa ikaonekana hawajaingiliwa kwa vyovyote dokta akatimuliwa akaitwa mwingine kuandika PF3 kuwa waliingiliwa akafanya hivyo muziki usio na mchezaji ukaendelea.
Akili mbovu hata humu Jf wamo.....Maamuzi ya Mahakama zote siyo ushahidi tuu?.........mna matatizo gani nyie Someni mwenendo wa Kesi ndio mutajua mbivu na mbichi.............!!!!!!!!