barafu
JF-Expert Member
- Apr 28, 2013
- 6,739
- 32,870
Mahakama ya Africa inatarajia kupitia hivi karibuni maombi ya mwanamuziki maarufu raia wa Congo Nguza Viking, maarufu kama babu Seya, dhidi ya serikali ya Tanzania ambapo alihukumiwa kifungo cha maisha jela baada ya kupatikana na hatia ya udhalilishaji watoto kingono.
Majaji wa mahakama hiyo watapitia maombi ya mwanamziki huyo katika kikao cha faragha na kama yatafaa itapangwa tarehe ya kusikiliza shauri hilo.