Kesi ya Babu seya inaweza kukatiwa rufaa?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kesi ya Babu seya inaweza kukatiwa rufaa??

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by KakaKiiza, Jan 2, 2011.

 1. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #1
  Jan 2, 2011
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,541
  Likes Received: 2,239
  Trophy Points: 280
  Je nauliza Kesi ya Babu Seya inaweza kukatiwa rufaa kwenye mahakam hipi??au mahakama za nje na zipi??
   
 2. akajasembamba

  akajasembamba Senior Member

  #2
  Jan 2, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 161
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Kesi ya Babu Seya haiwezi kukatiwa Rufaa, Mahakama iliyotoa maamuzi ni ya MWISHO hakuna nyingine tena, Labda aiombe mahakama hiyo hiyo ipitie uamuzi wake tena, wanaita REVIEW.wala Rais haruhusiwi na sheria kumpa Babu Seya msamaha! Atafia jela labda atoroke!
   
Loading...