Jibu ni simple kama ulivyosema,ila kama wewe ni mpelelezi,umeikuta maiti ya John pamoja na ile chupa yenye tundu chini ikiwa na mabaki ya matone ya maji yenye sumu.utamjuaje muuaji?aliyemuua mwenzie si huyo James aliyemwaga maji, maana kama hakuyamwaga yeye basi angekuwa kauwawa na Karim kwa ile sumu,very simple but kiufupi James na Karim ni magaidi, ila hii kesi tukiipeleka The Hague, kiu kitahukumiwa kifo
Jibu ni simple kama ulivyosema,ila kama wewe ni mpelelezi,umeikuta maiti ya John pamoja na ile chupa yenye tundu chini ikiwa na mabaki ya matone ya maji yenye sumu.utamjuaje muuaji?
Labda tujiulize pia,hatia ya uuaji ni ile NIA ya kuua au FANIKIO la kuua?