Kurzweil
JF-Expert Member
- May 25, 2011
- 6,622
- 8,410
Habari wanaJF,
Leo tarehe 16th January, 2017 Kesi namba 458 yenye makosa mawili yanayomkabili Mkurugenzi Mtendaji wa Jamii Media, Maxence Melo kutajwa leo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu.
Kila la kheri Mkuu Maxence.
======
UPDATES:
Kesi imeahirishwa hadi tarehe 16 February 2017 itakapotajwa tena kwa Hakimu Nongwa. Sababu ya kuahirishwa ni kwamba Upelelezi haujakamilika.
=====
Tazama habari hii na maoni yake yakisomwa ktk Jamii Leo
=======
UPDATE: 09.02.2017
Kesi moja wapo inayowakabili Mkurugenzi Mtendaji, Maxence Melo na Mike Mushi kusikilizwa leo, katika Mahakama ya Kisutu.
KISUTU, DAR: Upande wa Jamhuri katika Kesi inayomkabili Mkurugenzi wa Jamii Media umedai Wakili anayehusika na kesi hiyo yupo likizo.