Kesi namba 456 (Jamhuri v JamiiForums): Washtakiwa wakutwa na kesi ya kujibu, kuanza kujitetea Machi 14, 2019

kama una hakika na taarifa yenye maslahi ya nchi, wewe weka au tupatie sisi tutajiridhisha kisha kuiweka public.
Max, Mike, na Jamii nzima ya JF, kwanza poleni kwa yote, hizi kesi it's time consuming and eating deep into your pockets, lakini it's worth it to fight for the right cause.

Najua mnavyoteseka kwa ajili yetu, naomba niwape moyo kuwa kwa uwezo wa Mungu, tutashinda vita hii ya kupigania haki na uhuru wa JF, na tuko wengi tunaoteseka nanyi kwa persecutions of some kind or some sort of vibano, mikwamo, vikwazo, vigingi kwa michango yetu humu jukwaani.

Let's pray together, tushikamane pamoja, together we can, na nyinyi sii wa kwanza kuteseka kwa ajili ya wengi, hata YEYE yule aliyekuja kwa ajili yetu, pia aliteswa na kupigwa, ila ni kwa kupigwa kwake, sisi tuliponywa.

P
CC. Maxence Melo
 
Mkakati wa dikteta kuelekea 2020 labda kuwafunga wamiliki wa JamiiForums na kuifunga ili isiendelee kuanika maovu mbali mbali ya dikteta na serikali yake.
 
Mkakati wa dikteta kuelekea 2020 labda kuwafunga wamiliki wa JamiiForums na kuifunga ili isiendelee kuanika maovu mbali mbali ya dikteta na serikali yake.
The intensity ya mapigo ya karma yanategemea umewaumiza watu wangapi, hivyo akitokea kichaa mmoja akaamua kuifunga jf kwa sababu tuu hapendezwi na ukosoaji wetu humu wa ukweli na uwazi, kwa jinsi jf tulivyo wengi, maumivu yetu yatamlaani hivyo kupigwa na kipigo kikubwa cha mapigo ya karma kumtandika, mchana kweupe, tena mbele ya kadamnasi ya watu.
Unaweza kuta hata ile ndoto, ikatimia!, usifanye mchezo na karma, haina Mswalie Mtume.

Ndio maana viongozi wetu tuliwashauri hivi
Wito kwa Viongozi Wetu: Tutende Mema na Haki kwa wote. Nimeanza kumkumbuka Kikwete! Atakuja kuonekana kama Malaika! - JamiiForums

P.
 
Back
Top Bottom