Hebu nicheke kidogo kama nishajua mshidi ni nani vile ila ngoja ninyamaze nisiingilie mahakama.....
wenye record mwageni hapa tuone kama kuna waziri mkuu yoyote africa alishagatinga mahakamani kwa kosa la kuvunja katiba, tusije sisi wa-tz tumeweka ka-record ketu.Najua hataitwa hata mahakamani, itatupiliwa mbali... but at least ameburuzwa mahakamani...
View attachment 106896
"tafakari"
Tafakari, chukua hatua! Tutarudi kule kule kwa mgombea binafsi, just wait and see!
View attachment 106896
"tafakari"
TLS ndo nani?