Trainee
JF-Expert Member
- Sep 22, 2018
- 2,249
- 2,873
nakufananisha na rais samia!Kuwa na hisia ndiyo uhai.
Wafu hawana hisia.
nakufananisha na rais samia!Kuwa na hisia ndiyo uhai.
Wafu hawana hisia.
Inasikitisha sana kwa mtu kama yule kuwa na tabia tofauti kabisa na mwonekano wa umbile lake kimwili.Hana msimamo...sijui zile chupa za Madagascar ziliishia wapi..
Huyo ni balozi.Labda amphrey polepole km yupo bungeni
Aseee 🙄Huyo ni balozi.
Fisadi Samia anajua namna ya kuwaondoa njiani makuhani wakuu wa Magufuli. Kishawamaliza wote.
Naona hata kusoma na kuelewa unachosoma huwezi. Bandari za Zanzibar umeziona humo kwenye huo mkataba?Tumeyaona live.
Hatutaki tena mambo ya kutazama bandari moja.
Makubaliano na serikali ya falme ya Dubai ni kushirikiana kimaendeleo bandari zote za Tanzania.
Nyie mnaongelea bandari moja tu? Mbona hamjajipanga vizuri? au hamjasoma makubaliabo?
Zidisheni bidii, bado sana kelele zenu hazisikiki. Makubaliano ya kuendeleza ni kwa bandari zote, za baharini na zisizo baharini.
Mmechelewa jamvini karamu imeshaliwa.
Tulichochelewa pekee ni hicho alichopewa Samia.Mmechelewa jamvini karamunimeshaliwa, mkataba wa ushirikiano kimaendeleo na falme ya Dubai signed and sealed.
View attachment 2651757