Kesho tukutane Kigamboni-Mwalimu Nyerere

Kesho tukutane Kigamboni-Mwalimu Nyerere

Ni kweli hata mm nitakuwepo bhana twende tukachuane tu na Mungu atatusaidia kwa wakati wake wahenga walisema"jaribu ushndwe usishndwe kujaribu"
 
Ratio ya uhamiaji 154:1
ratio ya K/tarafa 230:1
ndo tumefikia hapo
 
bora hata uhamiaji, ni ratio nafasi 1 kwa 154, huku nafasi 1 kwa 216
 
mh.jamani tumelingana mawazo,me mwenyewe nilitaka nichangie h wastan mmeniwah uhamiaji afisa tarafa hakika ni wale wale kasoro majina,tena bora ya uhamiaji kwa ratio hiyo.
 
ukosefu wa ajira kweli ni tatizo kama ratio ziko namna hiyo.
 
Back
Top Bottom