Kesho Tarehe 1 April 2015, Wengi watalizwa

Kesho Tarehe 1 April 2015, Wengi watalizwa

Magnesium

JF-Expert Member
Joined
Nov 9, 2014
Posts
317
Reaction score
185
Habari wakuu.. Kama kawaida duniani kote kila ifikapo tarehe 1 Aprili kila mwaka dunia inaadhimisha siku ya wajinga duniani ambayo kwa lugha ya washenzi tunaita 'April Fools Day' .. Nimeandika hapa kukumbusha wewe mwana Jf ufahamu kabisaaaa kuwa kesho asubuhi kuna kuzinguliwa.. Kuna watu watasoma hapa na pengine wanafahamu kabisaa kuhusu siku hii lakini bado WATADANGANYWA TU.

Angalizo kwa mwenye mpango wa kudanganya, japo sina uhakika juu ya hili lakini ninavyofahamu juu ya siku hii ni kuwa mwisho wa kumzingua (kumdanganya) mtu ni saa 4 asubuhi. Kwahiyo utakapomdanganya mtu zaidi ya muda huo ujue ana uwezo wa kukuchukulia hatua za kisheria.. Kaa chonjo with April Fools Day
 
Ngoja nipige kichwa changu konzi ili kesho asubuhi nisisahau nikaingizwa mjini.

Tiba
 
Wewe nawe, uwe unafuata maelekezo bhana, mi nshawapanga waboya wangu watatu wakipita hapa siwatasanda..
 
Kuna watu vichwa ngumu humu pamoja na kutoa taarifa lakini wata danganywa na watashtuka badaaaaaaaaae!!.
 
1427819318335.jpg
 
Ngoja nipige kichwa changu konzi ili kesho asubuhi nisisahau nikaingizwa mjini.

Tiba

Na kweli mkuu unaweza kurupuka kutoka Mbezi Mwisho hadi Mbagala na foleni yote hiyo mjini halfu unaambiwa 'April Fool's Day'
 
Back
Top Bottom