Kesho ninafunga ndoa natubu dhambi hii

Kweli ukioa demu ambaye BK hamna unakua umemuoa mke wa mtu
 
Hizi dhambi hizi ndio inafanya waalimu kucheleweshewa mishahara...kwa hiyo dhambi yako....waombe walimu wenzio msamaha
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] ndio maisha sasa utafanyaje, hata wanaume nao wana past zao pind waingiapo ktk ndoa...hamna msafi...Ila kuna mchafu na mchafu zaidi
 
Waowaji mnaambiwa mimi bikra; mapenzi mpaka tufunge ndoa. Ngoja uweke ndani, utajuta wala sio saizi yako yaani 1/4 wala ndoa haidumu hapo
 
mwalimu wa mwendokasi dah mpaka mwanafunzi anagegeda sipati picha akikuchora mbele ya wanafunzi wenzake
 
Mmmh!..ni balaa hili.wanafunzi ndio maana ni mabashite!..vijana acheni kuoa cku hiz ni ujinga tu
 
Kuoa cku hiz hakuna maana
 
Sister bora uli retire make una hekaheka mapadri wetu si umewachezea sana jamani
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] ndio maisha sasa utafanyaje, hata wanaume nao wana past zao pind waingiapo ktk ndoa...hamna msafi...Ila kuna mchafu na mchafu zaidi
[emoji85] [emoji85] [emoji85]
 
Icje ikawa ndo unaolewa na jamaa angu maana nae harusi Leo. Kama ni yeye utakoma. Jamaa ana miaka 35 hajawahi kupata demu wala kutafuta wa kuzushiwa, watu wengi wanadhani mbovu. Aliwahi kumchumbia demu, akalipa na mahari ila demu akamtosa baada ya kujua ni mbovu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…