Kesho ni zamu ya ST JOSEPH kugoma! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kesho ni zamu ya ST JOSEPH kugoma!

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Kide, Jan 25, 2011.

 1. K

  Kide Member

  #1
  Jan 25, 2011
  Joined: Jan 23, 2011
  Messages: 74
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  baada ya makumira kugoma cku ya leo,hapa napata habari ya kua kesho ni zamu ya maINJINIA kugoma!habari ndo hiyo.....
   
 2. Gosbertgoodluck

  Gosbertgoodluck JF-Expert Member

  #2
  Jan 25, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,866
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Duu, haka kakimbunga naona kanaendelea kuchanja mbuga.
   
 3. K

  Kide Member

  #3
  Jan 25, 2011
  Joined: Jan 23, 2011
  Messages: 74
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  kazi ipo hko,wa2 wanadai kechelewa kwa spcl faculty requrementz
   
 4. Naloli

  Naloli JF-Expert Member

  #4
  Jan 25, 2011
  Joined: Aug 26, 2010
  Messages: 416
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Maandamano ya TUNISIA yalipochanganya na raia kufa sana POLISI wakagundua ukweli kisha nao wakaanza kuandamana. Kwa TZ kwa sasa wanafunzi wanaonyesha njia kwa kugoma siku yaja kibano kitakapo wazidia wafanyakazi wa TZ nao wataingia ktk migomo na maandamano hapo ndipo Polisi wa Bongo itawapasa waonyeshe kuwa na wao mshahara wao haumalizi wiki, ni wazi watatuua kama kawaida yao lakini mwisho wa siku macho yao yatafunguka na kuuona ukweli kuwa kibano cha life ni chetu wote na wao pia mshahara wao ni bajeti ya MBWA wa mtoto wa JK yaani RIZ 1 hivyo wataungana ktk maandamano yetu sijui JK atakimbilia USA au UK, Zimbabwe au Ivory Coast, Sudan au Congo. EMBU mie nisubiri hiyo siku MGAYA atakapo tikisa nchi maana JK,EL na RA pamoja na CCM yao wanamuofia DKT SLAA,MBOWE, TUNDU LISU nk lakini hawatoamini MGAYA atakapoongoza mapinduzi. MAANA WAFANYAKAZI WA BONGO WANAKARIBIA KUCHUKUA SHERIA MKONONI jinsi wanavyofanywa manamba bdani ya nchi yao wenyewe...................... HII NI TAFAKURI YANGU YA LEO
   
 5. F

  FredKavishe Verified User

  #5
  Jan 25, 2011
  Joined: Dec 4, 2010
  Messages: 1,090
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Nitawapa feedback yatakayojili kesho napiga pale tena niweke vocha mapema
   
Loading...