KESHO NENDA KIJIJINI KAMCHEKI MOTHER.

KESHO NENDA KIJIJINI KAMCHEKI MOTHER.

Lamek bwana kawa mwanaume wa dar kamsahau mama,hivi ni nani aliyewaroga enyi wanaume wa.......?
 
Mi najipanga niikimbie zangu bongo na nisirudi kabisa unaniambia niende shamba?
Lets assume umekulia shamba na wazee wapo mjini.

Hawaji shamba kabisa lakini hela ya matumizi wanatuma......

Would it have been alright?
 
Aisee,
Mama na baba walisha tengeneza mji wao tangu ujana wao. Vitu ulivyo vieleza ni vidogo sana vya kunishawishi kwenda kuangalia vikoje kwani vyawezwa kununuliwa tu.

Hata wao wanaweza kuvinunua, hawana shida kihivyo. Kuna kaka zangu na dada zangu ambao wana uchumi mkubwa kuliko mimi.

Hata wakija Dar hawaji kwangu kwani mimi bado bachela. Wanaishia kwa broh.
Bro you must be abnormal somewhere
 
Sawa kaka,
Wengine sisi mama zetu pia huja mjiji kutucheki sisi. So sio lazima kwenda huko shamba.

Pia Lameck akome kuwapa watu lift, kuna wenzio walifanywa kitu mbaya kuliko hata mateso ya yesu.

Unafanya wema kumbe ndo tiketi ya kulichungulia kaburi mapema na kuacha dunia hii tamu.

Sisi tushajiapia Dar hatuondoki mpk Makonda atengue kauli yake. Hata hali iwe mbaya vipi,tutafia na tai shingoni.

Zaidi yeye na baba yake ndo naona wanatuachia Dar na kwenda kwa wagogo huko.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
kwa kweli mama ni mtu wa muhimu sana ...

baba ni wa muhimu pia..

ila sio kama mama😛😛

mama ALIKUPA LIFE,

alikua na OPTION ya kufanya abortion but she choose to give you chance za kuenjoy dunia hii..so,muheshimu sana….

its seem harsh,but its the truth...
 
Nahisi huu uzi unawahusu wale waliozaliwa kijijini sie ambao tuko na wazazi wetu mjini tukigombea mwendokasi hatumo
 
Nahisi huu uzi unawahusu wale waliozaliwa kijijini sie ambao tuko na wazazi wetu mjini tukigombea mwendokasi hatumo
Kwani wewe baba mama na babu zako wote wamazaliwa hapo posta?
 
Hauwatamani ndugu zako wengine?

Hautamani kuona Mama anaishi katika mazingira gani? Unamuona kisa anakuja mjini kafungasha zawadi kibao basi kila kitu fresh.

Ngoja nikuambie, sio ujanja kutoenda shamba. Fanya uende ukamuangalie Mom anaishi katika mazingira gani.

Bati linahitaji kubadilishwa? Godoro je, Angalia Mama analala wapi.... Vyombo vyake je? Choo ni kile kile ulikiacha hakihitaji matengenezo.

Go visit your Mama honey. Let her feel the pride of showing off her grown son to the villagers. The boy she put to school with every penny she had, and who made it big and now lives in the City.

That feeling is priceless. All the best.
Umenen mkuu
 
Lets assume umekulia shamba na wazee wapo mjini.

Hawaji shamba kabisa lakini hela ya matumizi wanatuma......

Would it have been alright?
Wasipo kuja mimi naenda, sio lazima waje, naweza wafata mimi.

Bibie,
Sijawahi kufikiri kwenda kuishi shamba, ninamipango ya kwenda london, naona unanishusha
 
Inaweza kua hadithi lakini mambo kama haya yapo...

Yanasikitisha sana...


Cc: mahondaw
 
Asante Sana kwa ujumbe mzuri, ndo maana nasema jamii forum ni kijiwe changu sichomoki humu tu
 
Back
Top Bottom