Na furushi moja eti linakuja jisifia hapa kutembea na ex, halafu ex mwenyewe mke wa mtu, na wewe unaona umeyapatia maisha??? Mwanamke ana magoli mawili ya kidume chenzio, Bruh' hujiskii hata kinyaa..??
Tumepiga game fresh hamna cha kufumaniwa wala nini, bibie keshafika home mwepesiiii sasa hivi anamuandalia Hubby msosi.
Kesho hame tena kama kawa mpaka jumamosiiiiii.Mliokuwa mnaniombea mabaya mmeumbuka