SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 49,974
- 75,056
Kuna uwezekano akageuzwa kitafunwa?Usisahau mafuta.
Kuna uwezekano akageuzwa kitafunwa?Usisahau mafuta.
Na wewe mkeo anaenda gongwa na X wake.Kesho naelekea Dar na nimeshampigia X wangu ambae kaolewa na ana watoto wawili.
Ame confirm kutoa mzigo kwani jamaa mida ya mchana atakuwa kazini.
Kweli mtalaka hatongozwi
Anaenda kutikisha mzinga wa nyuki mchana jua linawaka KaliUsisahau unapoondoka kwenu uwaonyeshe sehemu ya nyumba yako ya mileleunakoenda kesho ni sawa na nyumbu kwenda kukorofisha sehemu simba walipolala
![]()
Kaa cinini kidogo na kuanza kutafakari uasi unaokwenda kutenda labda utapata ufahamu. kumbuka ukitenda mabaya utalipwa mabaya.
Ya kupimia CoVID-19Mafuta ya nini Kiongozi
Asante kwa taarifa bwana mdogo, jiandae!!!Kesho naelekea Dar na nimeshampigia X wangu ambae kaolewa na ana watoto wawili.
Ame confirm kutoa mzigo kwani jamaa mida ya mchana atakuwa kazini.
Kweli mtalaka hatongozwi
Ata akiwa kuzimu asisahau kuleta mrejesho🤣🤣🤣Anaenda kutikisha mzinga wa nyuki mchana jua linawaka Kali
Eti aone nn kitatokea
Sawa mwache aende
Avatar mpya ya kuua watu!🚶🚶🚶Muosha huoshwa.
Avata zinaua?Avatar mpya ya kuua watu!![]()

Rafiki hapo kifuani panaua!Avata zinaua?![]()
Yaani dah............ kua uzidi kuyaona.Na furushi moja eti linakuja jisifia hapa kutembea na ex, halafu ex mwenyewe mke wa mtu, na wewe unaona umeyapatia maisha??? Mwanamke ana magoli mawili ya kidume chenzio, Bruh' hujiskii hata kinyaa..??
Rafiki umehamia huku tena?Rafiki hapo kifuani panaua!
Kaa ukijua mkeo pia ana X wake!Kesho naelekea Dar na nimeshampigia X wangu ambae kaolewa na ana watoto wawili.
Ame confirm kutoa mzigo kwani jamaa mida ya mchana atakuwa kazini.
Kweli mtalaka hatongozwi
Yatakusaidia mambo yakienda tofauti, siunajua mke wa mtu sumu.Mafuta ya nini Kiongozi
Kwamba unamiaka Saba,bila kukanyaga Dar ???Kesho naelekea Dar na nimeshampigia X wangu ambae kaolewa na ana watoto wawili.
Ame confirm kutoa mzigo kwani jamaa mida ya mchana atakuwa kazini.
Kweli mtalaka hatongozwi