K K 4 LIFE JF-Expert Member Jul 21, 2015 2,567 416 Feb 23, 2016 #1 Wakuu napenda kuwajulisheni kuwa kesho asubuhi nitaondoka kwenda Kongo DRC kwa usafiri wa pikipiki Honda. Nategemea maombi yenu wakuu.
Wakuu napenda kuwajulisheni kuwa kesho asubuhi nitaondoka kwenda Kongo DRC kwa usafiri wa pikipiki Honda. Nategemea maombi yenu wakuu.
rubii JF-Expert Member Feb 22, 2015 14,020 18,482 Feb 23, 2016 #3 Uwabebee na lupera labda wataipenda.
UngaUnga JF-Expert Member Dec 28, 2014 1,724 1,463 Feb 23, 2016 #4 USISAHAU KUTUPIA PICHA KIDOGO UKIFIKA MIKUMI! WEWE JAMAA SIDHANI KAMA UKO SAWA UPSTAIRS! NA VIJISTORI VYAKO HIVI KILA SIKU
USISAHAU KUTUPIA PICHA KIDOGO UKIFIKA MIKUMI! WEWE JAMAA SIDHANI KAMA UKO SAWA UPSTAIRS! NA VIJISTORI VYAKO HIVI KILA SIKU
Determinantor Platinum Member Mar 17, 2008 58,881 94,616 Feb 23, 2016 #5 hahahhaaa bhana weee na story zako za safari daily...hio safari unaizania wapi? Unaanznia huko huko Kongo au Mbeya, au Dar au Kuzimu???
hahahhaaa bhana weee na story zako za safari daily...hio safari unaizania wapi? Unaanznia huko huko Kongo au Mbeya, au Dar au Kuzimu???
GreenCity JF-Expert Member May 28, 2012 5,796 4,497 Feb 23, 2016 #6 Ukifika hapa Tunduma nijulishe ili niku wish a REST IN PEACE, amigo!
HARUFU Platinum Member Jan 21, 2014 31,563 48,221 Feb 23, 2016 #7 Ngoja tusindikize uzi na burudani kidogo