Kesho magazeti ya kufungia vitumbua yote Yanga imekufa kiume!!

kipara kipya

JF-Expert Member
May 2, 2016
17,782
22,100
Kama kawaida kesho magazeti ya kufungia maandazi,yatakoleza rangi za mashuka ya theatre,yanga imekufa kiume badala ya kujikita kwenye tathimini ya mchezo,kwani wandishi na wahariri wanalipwa bei gani kuipamba?kufungwa ni kufungwa tu.
 
Wewe unajua kweli mpira, Hasa inapofika hatua ya knockout stage? Hata bayern Munich alimfunga atletico madrid lakini timu ipi iliyotolewa? Knockout stage mafanikio sio kushinda bali ni kuvuka hatua inayofuata.
 
Kama kawaida kesho magazeti ya kufungia maandazi,yatakoleza rangi za mashuka ya theatre,yanga imekufa kiume badala ya kujikita kwenye tathimini ya mchezo,kwani wandishi na wahariri wanalipwa bei gani kuipamba?kufungwa ni kufungwa tu.
Kama kawaida kesho magazeti ya kufungia maandazi,yatakoleza rangi za mashuka ya theatre,yanga imekufa kiume badala ya kujikita kwenye tathimini ya mchezo,kwani wandishi na wahariri wanalipwa bei gani kuipamba?kufungwa ni kufungwa tu.

Kwa aina hii ya mashabiki mbumbumbu, mikia fc MNA safari ndefu sana.
 
Mikia bana! Hamkosi maneno. Mjini Dundo, Angola Mwakilishi pekee africa mashariki na kati ktk michuano ya kimataifa, Dar es salaam Young Africans wamebebwa pia?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom