Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,521
- 96,267
Wanabodi kama ilivyo ada kesho mgombea urais kupitia CHADEMA/UKAWA mheshimiwa Edward Ngoyai Lowassa anaingia mkoa Mtwara na Lindi kuifuta rasmi CCM na wana Kusini wameahidi kutofungua maduka yao ili kuonyesha na kushiriki mapokezi ya aina yake kwa rais wao mtarajiwa.