Kesho Lazima niondoke Tanga

mkuu sina uhakika kama zinaanikwa, maana muda wote zimelowana na mimi naogopa kuuliza kama zinaanikwa, kinachoniogopesha hata sikijui, sijui dawa?

Zishaoza hizo.
 
nina experience ya miaka miwili tanga maana A -level yangu nimesomea huko, yanayosemwa yapo tena sana tuuu...ila ule upinzani wa madada poa kati mademu wa kibongo na mademu wa kihindi kamwe siwezi kuhusahau..tanga ndo sehemu pekee iliyojenga historia ya maisha yangu maana sikuwahi ku date na madada poa (ila tanga ilinibidi)..sijisifii ujinga ila kwa kijana aliekamilika ni kawaida kupitia mambo haya kabla ya uzee.
 
Nasubiri mrejesho hiyo kesho.

C.C JEKI
 
Last edited by a moderator:
Maji ya kuoga kwa mdalasin, haya kaka

tuambiane chumbageni au?
 
Duu chotara wa kihindi+ mwarabu!tanga jamani tanga sipasahau
 
!
!
You've got to know when to hold 'em
Know when to fold 'em
Know when to walk away
Know when to run........
 

Muwapige tuu!!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…