so waja leo warudi mwakani ... aya bab endelea kula utamu
hahahahaha..!!! nauli kushney kashaonga yoteeeeee.Angalia kama bado nauli ipo ...!
ale utamu arudi mwakani anakimbilia wapi ....watu wanatamani hizo chance za ukarimu wa watoto wa kitanga wanakosa
nadhani imesahau kale kamsemo ngoja ngoja yaumiza matumbo bhana...!!!Ha ha ha ha, ondoka sasa hivi. Kesho hutaweza.
Kila kheriNimeingia Tanga tokea wiki iliyopita kwa kazi binafsi, kama mnavyojua mambo ya Tanga, msemo wa waja leo warudi leo haupo tena, wanasema waja leo kurudi majaliwa, kwa kweli kuondoka imekuwa majaliwa, kila nikipanga kuondoka linaibuka jipya, hadithi za kwamba ".... oh mpenzi nguo nimeloweka..." nilikuwa nazisikia tu, kuna zaidi ya hayo, ukarimu wa watu hawa umepindukia jamani, nimeapa kesho liwalo na liwe, nitaondoka na nguo mbichi na hata ikibidi bila nguo, potelea mbali.