Kesho kuundwa Kamati teule ya bunge

sem2708

JF-Expert Member
Nov 4, 2010
4,116
2,000
Wakuu Kuna kila dalili kuwa kesho itaundwa Kamati teule ya bunge ili kujiridhisha na mapendekezo ya bunge kwani imeonekana kuwa mapendekezo hayo yamechagizwa Sana na personal grudges za baadhi ya POAC members dhidi ya muhongo and Co.
 
Halfcaste

JF-Expert Member
Nov 28, 2010
972
225
Wakuu Kuna kila dalili kuwa kesho itaundwa Kamati teule ya bunge ili kujiridhisha na mapendekezo ya bunge kwani imeonekana kuwa mapendekezo hayo yamechagizwa Sana na personal grudges za baadhi ya POAC members dhidi ya muhongo and Co.
Kongoromoko mkubwa wewe! Eskorow mkubwa
 
JBITUNGO

JF-Expert Member
Oct 25, 2012
1,248
1,500
Acha kutapatapa...mhongo aliingia kwenye siasa za tz kwa pupa na majivuno ya kizanaki sasa yametokea puani.
 
FJM

JF-Expert Member
Apr 11, 2011
8,084
1,225
Kuna kitu kinaitwa 'wananchi kuwa na imani na serikali yao'. Mazingaumbo yaliyotokea kabla ya kusomwa kwa report ya PAC, majina ya vigogo walipewa mgao, heka heka za bunge na Mahakama zimetoa picha mbaya sana kwa upande wa serikali. Sasa kama bado watakuja na Kamati teuli watazidi kuondoa hata ile imani ndogo iliyosalia. Itaonekana kuwa watu bado wanalindana.
 
PakavuNateleza

JF-Expert Member
Sep 9, 2009
1,052
2,000
Wakuu Kuna kila dalili kuwa kesho itaundwa Kamati teule ya bunge ili kujiridhisha na mapendekezo ya bunge kwani imeonekana kuwa mapendekezo hayo yamechagizwa Sana na personal grudges za baadhi ya POAC members dhidi ya muhongo and Co.
Always ficha upumbavu wako!!
 
Ruttashobolwa

JF-Expert Member
Feb 22, 2012
47,625
2,000
Wakuu Kuna kila dalili kuwa kesho itaundwa Kamati teule ya bunge ili kujiridhisha na mapendekezo ya bunge kwani imeonekana kuwa mapendekezo hayo yamechagizwa Sana na personal grudges za baadhi ya POAC members dhidi ya muhongo and Co.
kumbe yaliyo semwa ni ukweli tatizo lako liko kwenye mapendekezo tuu?

OK jaribu kipendekeza nini kifanyike!
 
afwe

JF-Expert Member
Oct 29, 2010
4,085
2,000
Wakuu Kuna kila dalili kuwa kesho itaundwa Kamati teule ya bunge ili kujiridhisha na mapendekezo ya bunge kwani imeonekana kuwa mapendekezo hayo yamechagizwa Sana na personal grudges za baadhi ya POAC members dhidi ya muhongo and Co.
Utasikilizwa na nani kwenye pumba kama hizo. Huyo PM anazomewa na subordinates wake kaama mtoto mdogo sembuse na wewe. Acha kunya sebuleni mchana kweupeee
 
cj21125

JF-Expert Member
May 12, 2013
2,040
2,000
Wakuu Kuna kila dalili kuwa kesho itaundwa Kamati teule ya bunge ili kujiridhisha na mapendekezo ya bunge kwani imeonekana kuwa mapendekezo hayo yamechagizwa Sana na personal grudges za baadhi ya POAC members dhidi ya muhongo and Co.
Inaelekea umelala muda mrefu ndio maana unajamba ovyo kwa kuwa umeshindia kande maharage na kuota ndoto za alinacha. Amka uchukue kopo la maji uende chooni ukajisafishe tafadhali ili urudi kwenye hali yako ya kawaida.
 
Pesambilli

JF-Expert Member
Apr 6, 2012
283
225
Wakuu Kuna kila dalili kuwa kesho itaundwa Kamati teule ya bunge ili kujiridhisha na mapendekezo ya bunge kwani imeonekana kuwa mapendekezo hayo yamechagizwa Sana na personal grudges za baadhi ya POAC members dhidi ya muhongo and Co.
Pumba tupu hizi
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom