Kesho Iringa mjini

Kesho Iringa mjini

Yamewashinda ya Jimbo la Kalenga pamoja na kutumia helikopta kwa vile mikutano yao ilikuwa inajaa watoto kwa sasa wanataka wakakusanye watu angalau Iringa Mjini ili walete picha kwenye media mbali mbali kuonyesha kuwa wanakubarika Iringa.

Sera ya CHADEMA ya kuonyesha umati wa watu kama kigezo cha kukubalika imegonga mwamba katika Jimbo la Kalenga na wanachotaka ni kwenda Iringa Mjini ili kuifufua.

Nitashangaa sana kama picha za mkutano wao wa kesho Iringa Mjini hazitajaa kwenye media na hasa hapa Jf kwa sababu kujaza watu kwenye mikutano inayofanyika makao makuu ya mkoa siyo tatizo kwa vile mkutano ni sehemu ya leisure activities.

Huwezi kufanya maamuzi ya kibaguzi ndani ya chama na usalimike mbele ya Law of Karma. Law of Karma inakitafuna CHADEMA kwa sasa pole pole kama ilivyoonyesha kwenye chaguzi za madiwani tarehe 09/02/2014

Ulaghai wa kisiasa umeanza kufika mwisho.

kazi ya kalenga tumemaliza,Bi Grace anasubiri kuapishwa tu!!! mwingereza kwisha habari yake!!!!
 
kazi ya kalenga tumemaliza,Bi Grace anasubiri kuapishwa tu!!! mwingereza kwisha habari yake!!!!

Hii misuba mnavutia wapi??? Chopa zimeshindwa kuvutia watu viongozi wako wamekimbia Kalenga wamechoka kuhutubia watoto!
 
Hii misuba mnavutia wapi??? Chopa zimeshindwa kuvutia watu viongozi wako wamekimbia Kalenga wamechoka kuhutubia watoto!
Mkuu chama

Hivi Kalenga akuna bwimbwi kama la Arusha.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu chama

Hivi Kalenga akuna bwimbwi kama la Arusha.
Mkuu Ritz
Kalenga watu wana akili zao; walifikiri kule ni Arusha viroba na charasi unazoa washabiki; Kalenga watu wanataka sera!
 
Last edited by a moderator:
Hii misuba mnavutia wapi??? Chopa zimeshindwa kuvutia watu viongozi wako wamekimbia Kalenga wamechoka kuhutubia watoto!

sacrament well known at colorado state.
 
Matumiz ya chopa n janga kwa ccm, kwan kwa cku inawawezesha makamanda kushriki zaid ya mikutano 8 ili lilitanabaishwa na mh! Mbowe jana kwenye mkutano uliofanyka uwanja wa Mwembetogwa ccm waja na propaganda eti chopa inamwaga sumu inayopunguza nguvu za kiume.
 
Akili fupi ngoma ipo Kalenga upande chopa ukaicheze Iringa hivi hizo ni akili???
 
Akili fupi ngoma ipo Kalenga upande chopa ukaicheze Iringa hivi hizo ni akili???
Mkuu chama

Makamanda wapo hoi Kalenga kila mmoja kakimbia kivyake, Mbowe alisema atafia angani lakini mwenyewe kakoma.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu chama

Makamanda wapo hoi Kalenga kila mmoja kakimbia kivyake, Mbowe alisema atafia angani lakini mwenyewe kakoma.

Mkuu Ritz
Mbowe msanii alijua wazi Kalenga ngoma nzito; huyo atafia mapajani kwa kimada hana jipya tunamsubiri Chalinze kama anao ubavu.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu chama

Chalinze habari ingine yule mmasai atajuta kugombea.

Chadema inawategea Mohamedi Mtoi na Yericko Nyerere, huyu Mwita Maranya kaishakata tamaa.

Mkuu Ritz
Kamanda Mohamedi Mtoi anaganga njaa tu anajua wazi moto wa CCM; Yericko Nyerere sio akili zake msuba na madude yanamchanganya kichwa mwehu tu kuna wakati alisema atagombea Chalinze nilicheka sana; kamanda Mwita Maranya kasusa?? Zile ndoto za kuwa mwenyekiti wa Chadema Dar zimefia wapi??? Tulimwambia ile nafasi kugombea labda amrambe kinyeleo babu waachwe kina Shayo na Shirima apewe yeye Mwita; yupo wapi yule Chadema kata Mikael P Aweda???
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom