Kesho ijumaa kuu kwa wakristo kula nyama ni mwiko je nikila samaki vipi hapo?

Kesho Ni ijumaa kuu kwa kifupi Ni njia ya msalaba bwana yesu wetu kristo alipitia ktk mateso yake
Wakristo hawana katazo hilo.

Wanaoabudu miungu ya sanamu ndo wamejiwekea hilo katazo ili kuigiza kuwa wanamuabudu Mungu wa kweli.
Hata hiyo kufunga siku 40 siyo Agizo la Kristo bali ni mapokeo ya kimizimu.

Kesho nakula nyama na sina dhambi kwenye hilo

Huu ni ukweli mgumu na mchungu sana.
 
Hakuna kanisa linalofunga siku 40 kama hujui wanavyofunga ni heri ukauliza ueleweshwe kuliko kukurupuka na kujikweza
 
Wakristo hawana katazo hilo.

Wanaoabudu miungu ya sanamu ndo wamejiwekea hilo katazo ili kuigiza kuwa wanamuabudu Mungu wa kweli.
Hata hiyo kufunga siku 40 siyo Agizo la Kristo bali ni mapokeo ya kimizimu.

Kesho nakula nyama na sina dhambi kwenye hilo

Huu ni ukweli mgumu na mchungu sana.
Hapa sio paje, we kula tu hakuna wa kukuchapa bakora.
 
Wakristo hawana katazo hilo.

Wanaoabudu miungu ya sanamu ndo wamejiwekea hilo katazo ili kuigiza kuwa wanamuabudu Mungu wa kweli.
Hata hiyo kufunga siku 40 siyo Agizo la Kristo bali ni mapokeo ya kimizimu.

Kesho nakula nyama na sina dhambi kwenye hilo

Huu ni ukweli mgumu na mchungu sana.
Trace ukristo wako, usipotokea kwa hao wanaoabudu miungu ya sanamu na hama JF
 
Back
Top Bottom