Keshi ajiuzulu,Yobo astaafu

Keshi ajiuzulu,Yobo astaafu

Alexandry Nemesi

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2014
Posts
1,508
Reaction score
590
Kocha wa Timu ya Taifa ya Nigeria Steven Keshi ametangaza kujiuzulu kuifundisha timu hyo kufuatia kufungwa na Ufaransa na kuondolewa kwenye kombe la dunia.

Pia nahodha wa Timu hyo Joseph Yobo ametangaza kustaafu kuchezea timu hyo.
 
Lazima iwe hivyo, wameitia aibu Africa, kuanza kugombea posho kabla hawajamaliza mechi zao.
 
Keshi anaenda kufundisha Bafanabafana
 
Safi ni kuwajibika,hapa kwetu kujiuzulu ni msamiati mgumu kweli kwa makocha/wanasiasa.
 
Tatzo watu weusi hatunaga uzalendo tunaweka maslahi mbele mno
 
Lazima iwe hivyo, wameitia aibu Africa, kuanza kugombea posho kabla hawajamaliza mechi zao.

Hawana Uzalendo waangalie Greece wamemuandikia barua waziri wao kuwa hawataki Posho zao bali zijengewe Uwanja wa mpira


Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom