Keshaharibika huyu...! Kajiongeza

jamani wana jukwaa nitafutieni mtaalamu wa picha aliyetoweka ghafla. Anajulikana kama MBUZe Mzee
 
Last edited by a moderator:
Jamani kwani kuwa msanii mpk ujibadili kuwa Dada na was Dada kuwaje sasa
 
Hivi tuko naye Kimwili kweli? maana ni siku nyingi sana sijamuona kunako jukwaani. Karibu X mass Tyta. Uje na kisu lakini maana mbuzi watakuwa wengi sana. namuomba Mbuzi mzee asikatize mitaa ya Uchagani maana ndo msimu wake
 
Last edited by a moderator:
Hivi tuko naye Kimwili kweli? maana ni siku nyingi sana sijamuona kunako jukwaani. Karibu X mass Tyta. Uje na kisu lakini maana mbuzi watakuwa wengi sana. namuomba Mbuzi mzee asikatize mitaa ya Uchagani maana ndo msimu wake
wa xmas kazi kupatikana..washajihami..
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…