Kerry: Tungedungua ndege za Urusi

Mkuu mn'gato watu wana utani eti Meli iliyo na nuclear powerd engine..ina mzigo wa kutosha vifaru..ndege za kijeshi na wanajeshi zaidi ya 3000 zipite ndege mbili juu iyumbishwe wakati ina mzigo wa izo nyingi tuu..nimemshangaa mkuu nikapata jibu anadhani ni kama zile zinazoyeyuka dar port..
 
Dah! Akhsante mkuu.......maana jamaa tambo zao unaweza ukadhani asubuhi zinapigwa
 
Akhsante mkuu, kweli hapo panafikirisha
 
Unajua tukiangalia kwa makini hapa kinachoonekana sio uwezo wa kijeshi hapana ni uwezo wa KIJASUSI

russia inaonekana wako vizuri sana kwenye maswala ya ujasusi na hizo system za marekani kuwa jammed lazima kuna inside job ambayo inafanywa na wamarekani kwa kuwapa information Russians
 
apitishe bas anga za uturuki akione cha moto! syria ndege yoyote inaruka hata jwtz inaruka tu
We mlevi nini, maana mlevi hana kosa wakati kalewa, au utakuwa shoga, maan hata haki yako huijui.
 

Mengi uliyoyaandika ni kweli kabisa, ila nataka nikuambie ukweli kuwa, Marekani haiiogopi Russia, bali inaogopa Vita vya nuclear endapo urusi ikishambuliwa na marekani, basi ni lazima itatumia nuclear, Kwa sasa marekani inafanya maandalizi makubwa Sana ya vifaa vya kujikinga na hewa ya nuclear Kwa raia wake wote, na bajeti tayari imeshatolewa, zoezi hilo likikamilika halafu mrusi awachokoze nyie washabiki wake mtamwonea huruma.
Ni kweli urusi ana jeshi zuri Sana, ila marekani wana ziada nzuri Sana ya jeshi na uchumi bora mno kulinganisha na mrusi.
jambo ulilosahau kulielezea ni kuwa, urusi inatafuta vita kuu ya lll Kwa nguvu, ikiamini kuwa marekani itaanguka na yenyewe kuja juu.
Hapo inatumia kigezo cha marekani kuwa na maadui wengi wa Siri na wa uwazi China,North Korea ,Iran itaongoza magaidi kuishambulia marekani na hasa maslahi yake ambayo ndo nguzo yake kiiuchumi. Na baadhi ya mataifa ya ulaya mashariki yatakuwa upande wa Russia.
Marekani inajua consequences za kujibu mapigo dhidi ya Russia, na ndo maana ipo kimya ikipanga mbinu za kujihami, inajua lengo la urusi na nini wamelenga, urusi ina hasira na marekani Sana tangu CIA walipofanya yao na kuisambaratisha soviet russia union .
Huo ndo ukweli, Vita kuu ya lll ya dunia yaja ,dunia italia mno, marekani anajua hayo ndo maana anajifanya mjinga anajipanga ili aje ashinde Kwa kishindo na aendelee kuitawala dunia, maana anajua kuwa asipojipanga inakula kwake, maana itakuwa nuclear war.
 
MKITAKA KUJUA RUSSIA NI WATU WA AINA GANI WAULIZE ISIS
 
urusi, korea kaskazini, zimbabwe hizi nchi zinapenda sana kutafuta umaarufu wa kijinga lakini hazina lolote, waige jinsi ya kupata umaarufu kwa US, CHINA, JAPAN, S.KOREA, GERMANY, nk
embu na wewe acha kutafuta umaarufu wa kijinga maana huna lolote unalolijua kuhusiana na mada uliyoiwasilisha hapa..
 
Huenda Putin anafikiria alipize vipi hilo tukio ,hawa jamaa wa Kremlin sio wakuaminika sana
Wameshaanza kwa kuwawekea vikwazo Turkey ni swala la muda tu Turkey watajutia kutungua ndege ya Mrusi
 
We mlevi nini, maana mlevi hana kosa wakati kalewa, au utakuwa shoga, maan hata haki yako huijui.
naona umecoment ukiwa umekalia kitu chenye ncha kali afu kina joto, hilo tu ndo tatizo lako!
 
Kama hizi taarifa wewe unazo na unazijua kiundani basi majasusi wa Urusi wanazijua nyingi zaidi na wanajua nini wanafanya,wanajua uwezo wa U.S na madhaifu yao hadi kadhalika U.S nao wanajua ya Russia.Sometimes mtu anaweza kujiamini kupigana na mtu mwingine kwa kuamini nguvu zake na udhaifu wa mwenzake either kwa kuwa sahihi au kuwa wrong.Sisi hapa wote hakuna ajuaye lolote kati ya hizi nchi bali tunazungzia experiance about the past hasa katika vita za nchi ndogo ila si kwa ma-giant wenyewe kwa wenyewe,tuendelee kufurahisha genge tu hapa.Thats all.
 
 
Kwani mlikuwa hamjui kuwa Marekani ni waoga sana?
Ingekuwa ndege ya iraq au afganistani au ya Libya wangeidungua mara moja..
USA baby..cc nyani ngabu
 
 
Kwani mlikuwa hamjui kuwa Marekani ni waoga sana?
Ingekuwa ndege ya iraq au afganistani au ya Libya wangeidungua mara moja..
USA baby..cc nyani ngabu
peleka kalio lako pale ubalozini kwao na vibomu vyenu vya kujitoa mhanga afu uone kama ni waoga ama la
 
Walishindwa kutungua walijua kitanuka...pia Russia haikukosea haha...may be
 
Na wewe peleka K yako kwenye ubalozi hatabwa somalia na kibomu chako uone
kwan mie nisema wasomali waoga?! we peleka hiyo 071 yako pale uone, si waoga! labda wanaweza wasiile
 
Wakubwa hawapigan kijinga madhara yatakuwa makubwa.Turkey ni katoto kadogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…