Kero | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kero

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Kimbweka, Nov 16, 2011.

 1. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #1
  Nov 16, 2011
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Habarini wakuu
  Nina dukuduku langu kuhusu hawa maxcom a.k.a maxmalipo yaani kila unapoenda kununua luku wanakuambia hakuna network, kama wameshindwa kazi waseme maana imekuwa kero sana wakifuatiwa na wenzao wa mpesa. Binafsi nawasihi wawajali wateja wao
   
 2. Ruhazwe JR

  Ruhazwe JR JF-Expert Member

  #2
  Nov 16, 2011
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 3,414
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  do!kaka ili linchi linakela kila section we acha tu!
   
Loading...