Namba tano inasaidia kujua kama wewe kweli ni mtumiaji wa namba hiyo, unajua mtu anaweza iba kitambulisho chako akaenda renew lain yako akaitumia isivyo.
Anyway ilipaswa waangalie vigezo vingine zaidi ya namba tano incase mtu alikuwa anaitumia kwenye modem tu, wakuulize bundlE gani 3 uliweka mara ya mwisho n.k
hiYo ndio kibongo bongo, mfano crdb benki ukipoteza kadi ya benki unaambiwa upeleke picha, wakati picha yako tayari wanayo!