MZALENDO NO.1
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 302
- 134
Habari za muda huu wana jf.Nina Swali naomba kujibiwa.
Hivi INAWEZEKANA nchi yetu hii Tanzania Magari yote yakawa mapya?
Niulize kwa nini nimeuliza hili Swali?
Nimeuliza hili Swali kwa kuwa kuna maafisa wetu wa barabarani wanakamata Magari kwa kosa Dogo tu na kutoza fine bila ya huruma.
Kwa mfano mimi mwezi wa kumi na mbili nimenunua Gari jipya (yaani limetoka kwenye karatasi) la kubeba mchanga,Tofali,Kokoto na bidhaa za ujenzi.kulingana na bidhaa na shughuli ninazo Fanya gari kugongwa na kuumia ni jambo la kawaida. Sasa gari langu lilipata mpasuko kidogo kwenye taa za nyuma za brake lakini nikaandikiwa kosa kuwa taa imevunjika.
Gari limekwenda kupakia mchanga likapoteza plate number za nyuma bila kufahamu, nikasimamishwa kukaguliwa wakakuta number haipo, nikawaeleza hata Mimi sijui kama namba haipo, hawakutaka kunielewa wakanitoza fine,
Traffic anakuandikia Leo kwa kosa la kuchakaa kwa Rangi ya gari,
CHA KUSHANGAZA WATATUMIA KOSA HILO HILO KILA SIKU KUKUPIGA FINE!!! kwanini ukiliandikia gari kosa la uchakavu mbona usimpe Mwenye gari muda wa wiki kujikusanya ili aweze kulitengeneza gari lake ndo uje kumwandikia fine tena?
Unavyolipiga fine Hilo gari kila siku unategemea mwenye gari atatoa wapi hela za kulifanyia ukarabati?? Au mnadhani hela ziko hapo tuu zinaenda kuchotwa gari lina karabatiwa
Au mlitaka gari liache kutembea barabarani ili mfurahie?
Hamuoni kama gari likiwa halifanyi kazi hamna uzalishaji na ni hasara kwa taifa? Mwenye gari ikifika muda wa kulipa Kodi atalipa na nini wakati gari lilikuwa halizalishi? Huo ndo huwa mwanzo wa kuporomoana kiuchumi kama taifa, kwasababu Mimi nikianguka kiuchumi hata wewe uliyenifanya nisifanye kazi utahadhirika kwa njia Moja au nyingine.
NCHI HII MAGARI YOTE HAYAWEZI KUWA MAPYA NA TUSIPIGANE FINE KWA KUKOMOANA. TUTUMIE UBINADAMU