Kero za status

Asante kwa taarifa mkuu unaewanunuliaga Data na Mb's za vifurushi ...niseme itifaki imezingatiwa
 
Yaan status aweke mwingine, kero upate wewe😂😂 unafrahisha
 
Sijui binadamu mkoje yaani furaha ya mtu mnaingilia kwani umelazimishwa kuview.

Au mzungu kuleta option ya Mute ni mjinga?
 
we nawe umetoka wapi kimbizana angalia status za wenziooo...mind your own business

Unapoamua kuangalia ni sawa na sisi tulivyokuja mbio hapaa kusoma na kisha kukoment, na yanaishia hapa hatupeleki maneno inst/faceb/etc
 
Huwa naangalia status za watu makini wanaorusha madini, wasiojilewa huwa nawa "MUTE" zisitokee kwangu
 
Kuliko ungepoteza muda kuandika huu uzwazwa bora ungepost memes kwenye status.

Mkuu WhatsApp wameweka option ya kumute wakijua kuna wasiotaka kuview.
Halafu mtu kupost chochote kwenye status hata kama ni cha kijinga kiasi gani, ni uamuzi wake kufanya hvyo. Anachopost mtu cha kijinga na kipumbavu na kishenz, what ever, haimaanishi yeye yuko hvyo. Kama unajudge mtu kwa mrengo huo you are totally wrong.

Wazee wa memes tuendelee kupost bhana. Watu tucheke, maisha yaendelee. C kila muda uwe serious tuuuu. Utakufa cku c zako.

MTOA POST ANA STRESSS
 
Maadam simu ni zao na hawakuombi pesa za bundle basi usiwapangie mkuu! Kuna watu huwa wanapost ujinga lakini wanaingiza pesa mingi na maisha yanawaendea fresh kuliko ninyi mnaojifanya mko serious na maisha kila wakati halafu kumbe njaa kali tu!

Binafsi siyo mpenzi wa kuweka mistatus mingi na huwa siview status za kila mtu ila hiyo siyo sababu ya kuwadis wale wanaopost kila siku! Kuna watu nawafahamu ni watu wazima na wana vyeo vikubwa tu na pesa ndefu ila hupost memes za kipuuzi na vitu vya ajabu!
 
Acha watu na maisha yao yatakupasua kichwa
 
inaonekana unapenda kuangalia stataz za watu siupotezee tu ufanye yako.
 
Nani aliyekwambia ujanja ni kutoku post status na ujinga ni kupost status.....achana nazo mimi huwa nazimute tuu kwa yule ninayeona ana post vitu visivyonibariki
 
nimetoka kuweka status hapa kwa shuguli niliyotoa chooni baada ya jana kuwekea mzigo wa msosi


ndio maisha kujiachia status
 
Lazima tuweke ujinga na utumbo ili tuwapumbaze msione mafanikio na hatua tulizopiga,

Hamchelewi kuturoga, ifike wakati tuwe tunawachanganya maadui zetu.
 
Mtu mwenye busara hawezi akaweka upuuzi kwenye status, au akiweka ni upuuzi wenye mafunzo kwa jamii.
 
Sikupingi babaake
 
kipindi nakua bibi alinambia "mwanaume hatakiwi kufatilia yasiyomuhusu"

nilimuuliza bibi kwa nini akanijibu "ww tafuta hela tu uje uhudumie familia yako hapo badae"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…