Nimefatilia mkopo wa wafanyakazi NMB Morogoro na kukamilisha masharti, cha kushangaza ni zaidi ya wiki moja imepita hawajanipa pesa. Sababu wanayoitoa ni eti mtandao unasumbua nchi nzima, how comes mtandao usumbue nchi nzima na hakuna wayout wanayoifanya / kuwaeleza wateja?
Suala hili limeniudhi sana, nawashangaa sana NMB na natafakari IT officers wa NMB wanafanya kazi gani? Yaani mkopo unakua kama ni kuprocess check??
Imenikera sana..
Suala hili limeniudhi sana, nawashangaa sana NMB na natafakari IT officers wa NMB wanafanya kazi gani? Yaani mkopo unakua kama ni kuprocess check??
Imenikera sana..