Kero za muungano | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kero za muungano

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Makame, Jul 22, 2012.

 1. Makame

  Makame JF-Expert Member

  #1
  Jul 22, 2012
  Joined: Jan 3, 2008
  Messages: 512
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Muungano wa Tanzania, Haukuja kwa kutania,
  Viongozi wake walidhamiria, kuimarisha udugu wa asilia;
  Hata uamsho wakilia, na hasan nasor moyo kuwasaidia;
  BLW pia likiwasaidia, hapatakua na maridhia;
  Juliasi Mwalimu alituambia, na Sheikh Karume alituusia;
  Tumeungana kwa nzuri nia, kutengana kutaleta udhia;
  Tuuenzi Muungano wetu, Bara na Visiwani PIA.

  MIMI nasema kuna KERO ZA MUUNGANO

  KERO hizi za MUUNGANO zinahusu ZAnzibar na Zinahusu TaNganyika.


  TUZIFANYIE KAZI KERO HIZO

  SIO KUVUNJA MUUNGANO
   
Loading...