Kero yangu kwa TRA

BrownRange

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2020
Posts
927
Reaction score
1,192
Wakuu poleni na majukumu.

Nikiwa najishughulisha na biashara ya clearing na forward, Nina KERO kubwa kwa TRA.

Quality na Assurance standard inasemaje kwa mafaili yaliyomaliza kufanyiwa kazi. Maana mafaili yanajaa ofisini mpaka yanaanza kuharibikia humo humo kabatini

Kwa uzoefu wangu, baada ya kumaliza shughuli Fulani, miezi mitatu Hadi sita inatosha kudiscard document zilizotumika


Kama hakuna standard hii, nawashauri TRA mfikirie kuhusu Jambo hili, umekuwa KERO maofisini

Naomba kuwasilisha
 
Hii hainihusu.
 
Wadiscard documents zilizotumika alafu next year akitaka kukukadiria Kodi atumie reference ipi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…