Kero ya Vodacom na SMS za kamata mpunga

Kinachoumiza zaidi ni hii hali ya uchumi mifukoni kuzidi kuwa mbaya hlf bodacom kila siku ni vi sms vya kamata mpunga shiiiiiiiiit.......
 
nashukuru
 
Bora umeliongelea hivi. Atleast wangekuwa wana filter kujua wapi wanapenda au hawapendi. Ni rahisi sana. Tangu mmeanza kumtumia mtu meseji hahjawahi kucheza hata siku moja hii ni dalili hataki kucheza sasa kwa nini uendelee kutuma tu ma SMS kila kukichaa
 
Tuma sms '' STOP " kwenda namba 1544 kuwa block
 
Na mm nakereka unaweza dhani ni mpesa aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…