Ingefaa kukawa na option ya ku block matangazo usiyoyapenda. Kila sekunde wakinitumia hako katangazo ninakazi ya ku delete na kuguna kimoyomoyo sijui athari zake kiafya zikoje!UJUMBE MUHIMU KWA NAMBA 767xxxxxxxx: Tuma neno GO kwenda 15544 SASA na ushiriki kwenye droo ya TZS 100,000,000 LEO! Vodacom KAMATA MPUNGA!
Hiyo kitu inakera mno kila baada ya muda naona SMS imeingia unakuta ndio hiyo ya kamata mpunga hawa wabadilishe utaratibu wao hii ni kerooooo au tuhamie mitandao mingine
Ipo bhanaIngefaa kukawa na option ya ku block matangazo usiyoyapenda. Kila sekunde wakinitumia hako katangazo ninakazi ya ku delete na kuguna kimoyomoyo sijui athari zake kiafya zikoje!
Washatuma ujinga huuMi kwa kweli line nimeiweka kwenye katecno kadogo kwa silent na hata hicho kicm Sinai nacho muda mwingi kwa kukimbia kero hii Halotel kachukua nafasi kwa line mhm yaani wana upuuzi usiovumilika hata kidogo.