Kero ya usafiri jijini Dar

kagombe

JF-Expert Member
Mar 1, 2015
3,507
1,640
Kwanza poleni wakazi wa huo mko inapofika mida ya saa 5 usiku usafiri unakuwa wa shida sana.

Linalonichanganya ikifika mida hiyo mpaka saa 11 alfajiri unaweza ukawa Kariakoo unakwenda Mbezi ila ukashuhudia daladala ya Segerea - Makumbusho inapakia Gongo la Mboto au Mbagala yaani mambo yanakuwa full kujiachia na abiria wanapanda tu hivi ikitokea la kutokea wewe abiria uliyepanda hiyo ndinga utamlaumu nani?

Hebu taja na wewe changamoto za huko uliko, mimi nishawahi panda daladala ya Bagamoyo ila ilikuwa inakwenda Mbezi.
 
Back
Top Bottom