Kero ya Tecno

Hakuna simu kama tecno dunia hii nitajie simu yoyote ya samsung unayoweza kulinganisha camera na tecno cm au tecno k7 au simu yoyote ya Samsung yenye kioo bora kuizidi tecno cm
Daah hebu tuanzie hapa

Unafahamu Superamoled Display wewe?

Yaani unasema simu bora ni yenye IPS screen??
Unaweza linganisha camera ya Samsung S10 na camera ya Tecno k7??

Take a simple comparison between Hiyo Tecno Cm na Samsung A30

Halafu uache kuongea usiyoyajua utaaibika.
Screenshot_20191207-054644_UC+Browser.jpg
Screenshot_20191207-054649_UC+Browser.jpg

Linganisha na specs za samsung A30 hapo hasa upande wa kioo uliposema kwamba hakuna kioo bora kuzidi Tecno Cm
Screenshot_20191207-054724_UC+Browser.jpg
Screenshot_20191207-054731_UC+Browser.jpg
 
Bora umwambie maana @bunblebee1 na watanzania wengi wanadhani ubora wa simu upo kwenye RAM na Wingi na MEGAPIXELS za camera
Unafurahia ram kubwa na rom wakati mashine yake ni mediatek, tena unakuta mediatek p22 inakaaga kwenye simu za laki na nusu kule china, ila tecno ndio anaweka kwenye flagship zake kama phantom 8, 9
View attachment 1270642View attachment 1270643

Halafu eti kuna mtu anapayuka Tecno ni Tecno.

Tatizo la wabongo wengi hamjui specifications za simu mnazozitaka bali alimradi simu kali. Na simu kali mnazozijua eti sifa ya kwanza lazima iwe ya kampuni kubwakubwa kama Samsung, Apple, LG, Nokia, Microsoft. Shubaamit!!!

Jifunzeni kufanya analysis ya bidhaa kwa ubora wake na si kwa majina.

Pia kwenye kununua simu kila mtu anatumia factors zake anazozijua ikiwamo urefu wa mfuko na quality ya simu anayoitaka.

Manup!!![/b]
iPhone X ina RAM ya 3GB na 12MP ya camera tuu lakini hauwezi kui compare na hiyo techno yako hata kidogo kwa uwezo.
.
Kama una kumbukumbu Samsung s6 ilitoka na camera ya 16MP lakini Samsung S7 NA S8 ikaja na 12MP na camera bado ikawa nzuri kuliko ile ya S6
 
Daah hebu tuanzie hapa

Unafahamu Superamoled Display wewe?

Yaani unasema simu bora ni yenye IPS screen??
Unaweza linganisha camera ya Samsung S10 na camera ya Tecno k7??

Take a simple comparison between Hiyo Tecno Cm na Samsung A30

Halafu uache kuongea usiyoyajua utaaibika.View attachment 1284238View attachment 1284239

Linganisha na specs za samsung A30 hapo hasa upande wa kioo uliposema kwamba hakuna kioo bora kuzidi Tecno Cm
View attachment 1284241View attachment 1284242

hamna mkuu sikuwa Sirius ilo swali nimeuliza kiutani
 
Kipato huleta majivuno
umasikini sio kilema mzee,ukiona mtu anaringia utajiri ujue ametafuta amepata.

hata hivyo kumiliki samsung au iphone sio kwamba umeyaweza maisha.ndio maana tunawashangaa wengi wenu,mtu una kipato cha mil 1 kwa mwezi unanunua simu ya 150,halafu inaanza kukusumbua.
 
Moja ya TECNO ninazozikubali ni ni hiyo TECNO CM japo siwezi tecno kutumia kwa sababu ya jina tu. Bora hata motorola
Hivi ni samsung gani toleo jipya ambayo ni portable yenye full screen less than 6''
 
Moja ya TECNO ninazozikubali ni ni hiyo TECNO CM japo siwezi tecno kutumia kwa sababu ya jina tu. Bora hata motorola
Hivi ni samsung gani toleo jipya ambayo ni portable yenye full screen less than 6''

Kwanini unaikubali hiyo simu
 
Back
Top Bottom