Kero ya Tecno

Kero ya Tecno

Wajinga ndio waliwao[emoji23][emoji23] imagine simu ya price ya phantom 9 huwa wanaweka helio p70 yeye kaweka p35..na still simu ya ya laki 6 haina fast charging in 2019[emoji23][emoji23]
Unafurahia ram kubwa na rom wakati mashine yake ni mediatek, tena unakuta mediatek p22[emoji3][emoji3] inakaaga kwenye simu za laki na nusu kule china, ila tecno ndio anaweka kwenye flagship zake kama phantom 8, 9[emoji3][emoji3]
 
MI nashangaa jaman Kuna Dada hapa mate wangu yeye akitaka kupiga picha Lazima aje aazime Ka tecno changu a napiga picha alafu namrushia[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]tecno

. MI tecno sihami ivi kama naweza kununua tecno ya 400,000

Nita shindwa kununua icho ki iphone six?

Ujanja kuchagua
 
siku umasikini ukikuisha ndio utakuja elewa maana yangu

samsung, iphone utazipenda sana mkuu
Sikiliza, mimi siyo kwamba ni maskini, ninachojali je simu ina functions zote ninazohitaji, je simu iko fast, je simu inatunza charge, je nikipiga simu nikalinganisha na wa Sumsung na iPhone tuko sawa? nikiona tuko sawa ya nini kununua iPhone ambayo inachagua baadhi ya apps?
 
siku umasikini ukikuisha ndio utakuja elewa maana yangu

samsung, iphone utazipenda sana mkuu
Wewe unayeita watu maskini una utajiri gani. Hujui watu unaoongea nao unakimbilia kuita watu maskini. Uelewe watu wote humu siyo level yako. Watu mamilionea umu na wanatumia Tecno unayoita ya watu maskini. Kuwa na simu ya pesa kubwa siyo utajiri bali ni ulimbukeni
 
Refurbished nyingi ni majanga sugu.

Niliwahi kununua Xiomi Redmi5 refub.

Kila muda watakiw utembee na power bank,
Na ukiichaji kidogo tu inashika joto utadhani ni pasi.
Mkuu karibu Nokia Family..
Simu ikipata joto la nje hata la jua kuzid 20C inazima yenyew had uje uiwashe tena..
Hii ni protection syatem imewekwa kuzuia sm kuungua au kuharbka
 
Last week nilienda Kariakoo. Kila simu kali ninayoulizia inaanzia 400,000 na kuendelea.

Wakati natoa hela mfukoni ili ninunur simu aina ya Oppo au Samsung ambazo nilimwambia yule dada aniwashie nizichrck specifications zake, ghafla sauti ikanijia kichwani ikisema "kumbuka unadaiwa hela ya pango tangu Septemba,Safari hii mwenye nyumba hatokuvumilia".

Hapo hapo, nikarudisha kiasi kinginr cha oeda mfukoni, nikachukua 180,000 nikampa yule dada wa dukani nikamwambia "Nipatie Tecno Pouvoir 3 Air niwahi nyumbani".

Akanipa nikadownload:
-Gallery
-File Manager
-Notebook na
-Calender

(Maana yake havikuwepo kwenye simu)

Ndio naitumia hapa, kazi yangu ni kupokea manotification kila nikiwasha data.
Pouvoir 3 ,180,000? Maybe......ila najua ni 200,000+
 
Oneni uyu[emoji23][emoji23][emoji23]
View attachment 1270642View attachment 1270643


Halafu eti kuna mtu anapayuka Tecno ni Tecno.

Tatizo la wabongo wengi hamjui specifications za simu mnazozitaka bali alimradi simu kali. Na simu kali mnazozijua eti sifa ya kwanza lazima iwe ya kampuni kubwakubwa kama Samsung, Apple, LG, Nokia, Microsoft. Shubaamit!!!

Jifunzeni kufanya analysis ya bidhaa kwa ubora wake na si kwa majina.

Pia kwenye kununua simu kila mtu anatumia factors zake anazozijua ikiwamo urefu wa mfuko na quality ya simu anayoitaka.

Manup!!![/b]
 
Kweli hata MO anatumia Tecno
Kwahyo hii ni Tecno[emoji2369]
20191128_231335.jpeg
 
View attachment 1270642View attachment 1270643


Halafu eti kuna mtu anapayuka Tecno ni Tecno.

Tatizo la wabongo wengi hamjui specifications za simu mnazozitaka bali alimradi simu kali. Na simu kali mnazozijua eti sifa ya kwanza lazima iwe ya kampuni kubwakubwa kama Samsung, Apple, LG, Nokia, Microsoft. Shubaamit!!!

Jifunzeni kufanya analysis ya bidhaa kwa ubora wake na si kwa majina.

Pia kwenye kununua simu kila mtu anatumia factors zake anazozijua ikiwamo urefu wa mfuko na quality ya simu anayoitaka.

Manup!!![/b]
Muda si mrefu itaanza kujiwasha tochi yenyewe tu ukiwa umeiweka mfukoni,unashangaa tu paja linachomwa chomwa.

Wait&see.
 
Wewe unayeita watu maskini una utajiri gani. Hujui watu unaoongea nao unakimbilia kuita watu maskini. Uelewe watu wote humu siyo level yako. Watu mamilionea umu na wanatumia Tecno unayoita ya watu maskini. Kuwa na simu ya pesa kubwa siyo utajiri bali ni ulimbukeni
Haya kunywa mkuu huku ukipiga piga kifua upunguze machungu.
 
Back
Top Bottom