Huu kwa kweli ni usumbufu kwa raia wema! Kuna sababu gani ya kutumia barabara na kusababisha raia waweke magari yao pembeni kupisha msafara wa Rais? Huu ni usumbufu uliopita kipimo! Hebu atumie ndege zake bwana! Sasa hivi tumesimamishwa hapa Chalinze eti tunapisha msafara ambao bado uko Gairo! Sasa fikria muda ambao raia watautumia mpaka apite hapa Chalinze! "HAPA MAIGIZO TU"
Ukikwama kwenye foleni Dar haulalamiki hivyo!
sasa atakuwa anaenda aje kwenye mikutano ya UN ambayo itafanyika outside East Africa?Sinasikia jamaa kakatazwa kupanda ndege na madaktali.
Huu kwa kweli ni usumbufu kwa raia wema! Kuna sababu gani ya kutumia barabara na kusababisha raia waweke magari yao pembeni kupisha msafara wa Rais? Huu ni usumbufu uliopita kipimo! Hebu atumie ndege zake bwana! Sasa hivi tumesimamishwa hapa Chalinze eti tunapisha msafara ambao bado uko Gairo! Sasa fikria muda ambao raia watautumia mpaka apite hapa Chalinze! "HAPA MAIGIZO TU"
Hilo Magu Kashindwa Kugundua Anazani Anapunguza Ghalama Kumbe Anaongeza Watu Wanawekwa Pembeni Masaa Matatu Huku Wamesimamisha Shughuri Zao Et Rais Anapita Upuuzi Mtupu
Ukikwama kwenye foleni Dar haulalamiki hivyo!
Sinasikia jamaa kakatazwa kupanda ndege na madaktali.