Hii Baa hapo Ubungo (inaitwa night club-bila hata kuwa na leseni yake). umefunguliwa Muziki unapigwa 24 hours kwa sauti inayohatarisha kabisa utulivu na hata afya za watoto wa shule. polisi wa Vituo vya urafiki na hata Rombo wameshindwa kabisa kuzuia hilo, badala yake wanaambulia tu bia moja-moja kila wakienda, na kisha kujiondokea. wana-JF tusaidieni namna ya kuondokana na hii balaa
Kuna siku nimehudhuria harusi moja huko Kimara..........
pembeni ya huo ukumbi kuna nyumba tena ni karibu sana madirisha yako upande wa lodge
nikajiwazia hivi hawa si huwa wanapata karaha sana na hii miziki.maana mie mwenyewe kwa ule
mda nilikuwa nahisi ka moyo wanidondoka sa wenyewe ni daily...wanavumilia sana
Funga soundproof nyumba yako kaa ya kupanga gud 4u hamia elsewhere.
Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums