KERO YA MUZIKI WA FUJO KUTOKA BAA: JF Nisaidieni nichukue hatua gani?

Asa'rile

JF-Expert Member
Jun 29, 2012
438
120
Hii Baa hapo Ubungo (inaitwa night club-bila hata kuwa na leseni yake). umefunguliwa Muziki unapigwa 24 hours kwa sauti inayohatarisha kabisa utulivu na hata afya za watoto wa shule. polisi wa Vituo vya urafiki na hata Rombo wameshindwa kabisa kuzuia hilo, badala yake wanaambulia tu bia moja-moja kila wakienda, na kisha kujiondokea. wana-JF tusaidieni namna ya kuondokana na hii balaa
 
Acha watu watafute pesa walipe na kodi nchi isonge si uhame aalah
 
acha ubaya wa nafsi mtafute bosi wao mueleze kelele zako zinatukera tafadhali funga sound proof au fungulia kwa sauti ndogo,ipo dhana ya kwamba wanywaji hupenda sauti kubwa na hii si kweli
 
Funga soundproof nyumba yako kaa ya kupanga gud 4u hamia elsewhere.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Kuna siku nimehudhuria harusi moja huko Kimara..........

pembeni ya huo ukumbi kuna nyumba tena ni karibu sana madirisha yako upande wa lodge

nikajiwazia hivi hawa si huwa wanapata karaha sana na hii miziki.maana mie mwenyewe kwa ule

mda nilikuwa nahisi ka moyo wanidondoka sa wenyewe ni daily...wanavumilia sana
 
Dawa ya moto ni moto, tafuta sub woofer na utakuwa unacheza na volume tu.
 
Code:
Kuna siku nimehudhuria harusi moja huko Kimara..........

pembeni ya huo ukumbi kuna nyumba tena ni karibu sana madirisha yako upande wa lodge

nikajiwazia hivi hawa si huwa wanapata karaha sana na hii miziki.maana mie mwenyewe kwa ule

mda nilikuwa nahisi ka moyo wanidondoka sa wenyewe ni daily...wanavumilia sana

Kimara ipi hiyo mkuu?
maana huku ni nyumba baa-nyumba baa
 
Nenda kacheze kwani wewe hupendi mziki mkuu wakianza kupiga mziki wewe amka kacheze.
 
Hii Baa hapo Ubungo (inaitwa night club-bila hata kuwa na leseni yake). umefunguliwa Muziki unapigwa 24 hours kwa sauti inayohatarisha kabisa utulivu na hata afya za watoto wa shule. polisi wa Vituo vya urafiki na hata Rombo wameshindwa kabisa kuzuia hilo, badala yake wanaambulia tu bia moja-moja kila wakienda, na kisha kujiondokea. wana-JF tusaidieni namna ya kuondokana na hii balaa

Unajipotezea muda tuu kwenda polisi. Polisi bongo wanalinda wakubwa tuu. Kama unaweza kuji organize wewe na majirani zako mnaweza kuandamana hapo baa kila siku. Vyombo vya habari vinaweza kuja kuwasaidia.
 
Acha uoga chukua kusanya mateja wa hapo ubungo washikishe bakora ingieni kwny hy club na kucharaza waliopo hawatarudi tena.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom