Asa'rile
JF-Expert Member
- Jun 29, 2012
- 438
- 120
Hii Baa hapo Ubungo (inaitwa night club-bila hata kuwa na leseni yake). umefunguliwa Muziki unapigwa 24 hours kwa sauti inayohatarisha kabisa utulivu na hata afya za watoto wa shule. polisi wa Vituo vya urafiki na hata Rombo wameshindwa kabisa kuzuia hilo, badala yake wanaambulia tu bia moja-moja kila wakienda, na kisha kujiondokea. wana-JF tusaidieni namna ya kuondokana na hii balaa