Kero ya makanisa ya Kilokole/ Pentekoste

Ibada haitakiwa kuwa kero kwa wengine hasa walio majumbani!
Kwanini wasiwe wanasali kwa sauti ya kusikilizana kule ndani tu? kwanini wanafunga spika nje hadi iwe kero?
Sidhani kama hawa watu wana ustaarabu wa aina yoyote ile ni wahuni tu!
Mbona makanisa kama Roman, KKKT, wasabato na Anglican hawana huu upuuzi??
Mkuu hawa watu ni shida sana sio wastaarabu hata kidogo kinachokera zaidi utakuta ibada ina watu kama 6 au 10 utashangaa wanawasha spika sauti ya juu nafikiri watu ambao wanakutana na kazia kama hii wanaelewa namaanisha nini
 
Back
Top Bottom