Kero: Utupaji hovyo wa nyembe mitaani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kero: Utupaji hovyo wa nyembe mitaani

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mokoyo, Mar 26, 2010.

 1. M

  Mokoyo JF-Expert Member

  #1
  Mar 26, 2010
  Joined: Mar 2, 2010
  Messages: 14,856
  Likes Received: 2,019
  Trophy Points: 280
  Hili suala limekuwa kama jadi ya Watanzania wengi sana hasa mijini na majiji kwa watu kutumia nyembe kwa matumizi yao binafsi na kuzitupa hovyo barabarani na wanaoathirika ni watoto wadogo ambao wamekuwa wanaokota. Wanaofanya hivi waache ni dhambi kubwa sana
   
 2. m

  mnyakyusa JF-Expert Member

  #2
  Mar 26, 2010
  Joined: Feb 24, 2010
  Messages: 248
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Duh ila sie tunatabia ya uchafu
   
 3. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #3
  Mar 26, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,582
  Likes Received: 546
  Trophy Points: 280
  Hii ni kero kubwa sana sijui kwa nini Binadamu na akili timamu anshindwa kujua utupaji hovyo wa nyembe ni hazard kwa watoto wetu?
   
 4. M

  Mokoyo JF-Expert Member

  #4
  Mar 26, 2010
  Joined: Mar 2, 2010
  Messages: 14,856
  Likes Received: 2,019
  Trophy Points: 280
  FL1, nilikutana na mtoto mmoja wa darasa la pili amejikata na kiwembe baada ya kumdadisi aksema aliokota barabarani akawa anachonga penseli yake. Jarbu kuona suala kama hili jamani
   
 5. M

  Mokoyo JF-Expert Member

  #5
  Mar 26, 2010
  Joined: Mar 2, 2010
  Messages: 14,856
  Likes Received: 2,019
  Trophy Points: 280
  Na ya kusikitisha sana
   
Loading...