Ziltan
JF-Expert Member
- Aug 20, 2011
- 2,709
- 6,947
Nimefanya malipo NECTA kwa ajili ya mtihani wa PC CSEE mwaka huu lakini nikijaribu kufanya Online registration sytem inagoma na kusema receipt no and refference no does not match.
Watu wa NECTA na VODACOM (M PESA ) rekebisheni hilo tatizo kwan ni la tangu mwaka jana.
Mpaka sasa sijapata huduma na hela zishakatwa.
Watu wa NECTA na VODACOM (M PESA ) rekebisheni hilo tatizo kwan ni la tangu mwaka jana.
Mpaka sasa sijapata huduma na hela zishakatwa.