The useful idiot
JF-Expert Member
- Jul 14, 2024
- 1,066
- 2,739
Dakika 40 afu watu weeengi hadi shidaUmekaa muda gani kusubiri panton?
Kuna kuishi kimara kwenda nyumbani hadi upange mstari [emoji81][emoji81][emoji119]Kuna kuishi dar halafu kuna kuishi kigamboni[emoji3][emoji3]
Kuishi kigamboni n mazoezi tosha.
Chache hivo! Wenzako wanakaaga hadi masaa usiombee utake kuvuka kuanzia saa 4 usikuDakika 40 afu watu weeengi hadi shida
Ulivuka saa ngapi? Maana mimi nimevuka saa tisa kidogo ilikua afadhaliDakika 40 afu watu weeengi hadi shida
Roho imekuuma sanaOya Kutongozana humu sii ruhusa!! Isitoshe unaemtongoza ni shemeji yangu
Upo dar kumbe?Chache hivo! Wenzako wanakaaga hadi masaa usiombee utake kuvuka kuanzia saa 4 usiku
Mbupu zimesimamaRoho imekuuma sana
Nipo Lindi, kigamboni enzi hizo nimekuja dar likizo ya form 4Upo dar kumbe?
Saa 11Ulivuka saa ngapi? Maana mimi nimevuka saa tisa kidogo ilikua afadhali
Huyo uliyemtag hapo ndio Dereva wa hicho Kivuko? Basi ngoja aje ajibu tuhuma.Naunga mkono hoja Leo nimepata tabu sana yaani sana nusu nife Cc ephen_
Kwea mnaziMbupu zimesimama