Kwanza kabisa nimpongeze Mh.Raisi Magufuli na Mh.Waziri wa mali asili.
Mimi kama kijana mtanzania nimejiajiri kwenye hii sector. Ninaitangaza nchi yangu kwa hali na mali. Nimefanikiwa kushawishi wageni watembelee nchi yangu.
Kero kwenye hii bank ya equity, Leo wageni wamefika nataka nitoe hela nmlipe mbia wangu kwenyebiashara wao wanagoma! Wanaiomba documents mpaka za vyeti vya ndoa!
Wametoa copy za brella, tin number, card zangu za benki za visa, itineraries ya wageni, tax clearance certificate nimewakilisha ukiachilia mbali kunikalisha 4 hours ofisini kwao na kuwahi alfajiri lakini wakaniambia hatukupi hela.
Nina wageni 17 kutoka USA. Wote wameshafika na hawawezi kupanda mlima Kilimanjaro wala safari yao.
Nazungumza nao hapa wanashangaa mahawaamini kama bank inaweza kufanya hiki kwa brand ya Tanzania!
KWAKUWA MUNGU NI MWEMA NITAENDELEA KUTAFUTA MSAADA KWA MARAFIKI WANISAIDIE ILI JINA LA NCHI YANGU LISIHARIBIKE NA WAGENI WAWEZE KURUDI TENA!
Shukrani zangu kwa EQUITY BANK TANZANIA kwa mliyonifanyia! Ila sitachoka kuiuza nchi yangu nakushiriki kuujenga uchumi!
Ushauri - msimtishie mteja kuwa mtampiga mkigundua ni mwizi! Mimi sio mwizi ndio maana nimepewa dhamana ya hizo fedha za malipo halal ya serikali mlizozuia kunikomoa!
Fanyeni kazi kwa kujiamini na professional zaidi kuliko kukomoa kisa tu kunawenzenu wako ndani kwa makosa ya kibenki, kama mlivyo niambia!
Mnaharibu jina la nchi kama sio kuhujumu uchumi wa nchi yangu.
Mheshimiwa waziri naomba nitoe keep yangu